Hata wewe mwenyewe unaweza itengeneza. Ngoja nikupe Chemistry yake... Kwanza unatakiwa uwe na boiler... Hii itakuwa ni kitu kama pipa ambalo utaweka ingridients zako. Then hiyo boiler, iwe ni pressure boiler, yani iwe haitoi hewa. Weka pipe juu ya hiyo boiler ambayo itapitia kwenye chombo kinachoitwe condenser au kipoozeo. Hiki ni kifaa cha kukinga mvuke na kuupoza kufanya iwe spirits. Then utakuwa na resevior tank... Hapo utakuwa umepata Sprit...
NB: Hii ni njia general kutokana na Chemistry niliyosoma darasani. Its not specific for your customized needs...