Bei chee mpka awatu wanaanza kuogopa.
Maana humu JF ukiuza gari bei rahisi saaana watu wanaogopa ukiuza bei kubwa ndio watu wanaona kama dalali vile.
Sasa hii Gari kwa ufupi ni bei sawa na bure,ila sijui Engine yake ipoje,maana sababu uliyoitoa wengi huitumia na kukuta hakuna ukweli.
Naamini numbe yake ni A ,hembu tupe Km zake ili tuangalie ilivyokula njia.Maana hapo inabidi kutupia kama 1m kuirejesha kwenye form yake.
Asante mkuu,basi jua haikai sokoni,muda tu watu watainunua.Kiongoz namba ni A, ilikuwa inaendeshwa na mwanamke. Kweli bei ni chee sabababu haina maana kukaa na gari ambayo haitumiki, bora iuzwe ili pesa ifanye mengine. Gari ni nzima sana.
Kiongoz namba ni A, ilikuwa inaendeshwa na mwanamke. Kweli bei ni chee sabababu haina maana kukaa na gari ambayo haitumiki, bora iuzwe ili pesa ifanye mengine. Gari ni nzima sana.