Natafuta Sony Experia Z3 au Samsung Galaxy S4

Natafuta Sony Experia Z3 au Samsung Galaxy S4

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
jamani natafuta simu tajwa hapo juu, used kwa bei ya laki 3, kama kuna mtu anauza tuwasiliane mimi kwa sasa nipo bariadi, kama upo musoma, mwnza, shinyanga naweza kuifuta bila shida tukielewana bei.
 
mukiuziwa sim clone/ copy huwa mnakuja jukwaan mnalalamika.. so unafkiri laki 3 utapata s4 kweli??
 
Huyu jamaa hayupo serious! Galaxy S4 kwa laki 3!? Kitu ambacho dukani ni laki 8 katika hali ya kawaida huwezi kukipata mtaani kwa chini ya laki 5....unless iwe ni clone.
 
jamani natafuta simu tajwa hapo juu, used kwa bei ya laki 3, kama kuna mtu anauza tuwasiliane mimi kwa sasa nipo bariadi, kama upo musoma, mwnza, shinyanga naweza kuifuta bila shida tukielewana bei.
Zipo mjini kwa bei ya 1.3 ivo jipange mkuu
 
laki tatu si ndogo, ni nyingi ila sahau kuhusu xperia z3 kwa sasa, labda s4 unaweza KUBAHATISHA used iliyochoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom