Mb-one
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 885
- 1,298
Habari wakuu
Naweza nikapata wapi hizi aeration pump kwa hapa dar...ziwe na uwezo wa kufanya kazi kwenye ukubwa wa eneo lenye maji kuanzia Lita 3000 na kuendelea ni vizuri ziwe non submersible,pia depth ya kuanzia 1.5 meters...ziwe znatumia umeme mdogo au hata solar power .
natanguliza shukurani
Pm tafadhali