Shamba linauzwa Mbagala Charambe

Shamba linauzwa Mbagala Charambe

Bolshevick

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
355
Reaction score
247
Mabibi na Mabwana. Kuna shamba mbagala charambe linauzwa kwa tsh million 7. Mnaweza kufikia maelewano na kisha ukaanza kulipa kidogo kidogo kwa kile ulichonacho kwa sasa. vipimo vyake ni kama ifuatavyo; actual measurement ni 80×70 urefu na upana ni 57×80. Kama unahitaji wasiliana na huyu +255 713 948 594 au namba 0767 948594. Asante
 
Huu urefu na upana wake Mbona haueleweki kaka yangu?

Na vipimo viko kwenye mita, miguu au futi?
 
Hahaha,Vipimo hivyo kiboko.
Sijui kwenye kulipana inakuwaje hapo.
Maana mwenye shamba mwenyewe hajui eneo lake sahihi
 
Back
Top Bottom