Nyumba ina uzwa Kinondoni Studio, inafaa kwa matumizi ya Ofisi(ilikua inatumika kama ofisi) na makazi.
Ina vyumba 3 na master, imezunushiwa ukuta na ina geti. ina maji na mfumo wa umeme wa njia 3...
Kiwanja na Nyumba ya Vyumba Vitatu vinauzwa!!!!!
Ukubwa wa eneo 23x25m
Nyumba ya vyumba vitatu
Eneo- Kimara Kilungule Dar Maeneo ya Darajani.
Hakina Mgogoro
Bomba la Dawasco limepita Jirani.
Mita...
nina till mpyaa za vodacom 4 kila till imekamilika (zipo mbilimbili) nipo Mbezi bondeni Dar na kuna usalama wa biashara yangu kwa asilimia 100 mawasiliano kwa wanaohitaji 0767279713 0658825141
Tuwasiliane Pm kwa anayehitaji.
Ipo katika hali nzuri.
Ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi.
Namba za usajili BCN
Ipo Mabibo Hostel
Unaweza kuja kukagua.
Wakuu kuna Friend of my Brother muzungu wa madiba,amenitumia request,nimeona ni share na wadau.
"Quote"
I am looking to buy a small package of land to start with of any size, in any Region
I...
Kinahitajika kiwanja kilichopimwa ukanda wa kigamboni kuanzia mikwambe, kibada, gezaulole hadi mwongozo ukubwa wa sqm 1200 budget ni 12m± kwa haraka, nPM kama unacho
Habari wanajamvi.
Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz.
Thanks.
Habari wakuu
Naweza nikapata wapi hizi aeration pump kwa
hapa dar...ziwe na uwezo wa kufanya kazi
kwenye ukubwa wa eneo lenye maji kuanzia
Lita 3000 na kuendelea ni vizuri ziwe non...
SCANIA TRUCK 113, DOUBLE DIFF, HUB REDUCTION, HALI NZUR INAUZWA
BEI MAELEWANO, 13.5 mln
INATEMBEA NA CABIN NDOGO,
ENGINE STD
CONTAINER BODY
Tuta up load picha baadae kdg...
Habari zenu wadau, najishughulisha na biashara ya kuleta nazi nzuri na kavu hapa Dsm kutoka mkoani Tanga kwa oda. Kama unahitaji wasiliana nami 0655069989.