Habari wajasiriamali wenzangu...nauza till ya tigo pesa.....nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara ...aliye serious ani pm........nipo dar es salaam...
Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama:
2x2= sh.3000
2x4= sh.6000
2x8=sh. 10,000
Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
Habari Wajasiriamali wenzangu!
Nauza till ya Tigopesa, nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara. Aliye serious ani-pm. Nipo Dar es salaam.
Karibuni sana.
TEGWA Investment ni wafugaji na wauzaji wa kuku wa kienyeji,Tunauza kuku kuanzia kuku 10 na bei yetu ni Tz.10500 kwa kila kuku,
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0768292116 au...
Habari!
Kwa wale wakazi wa Moshi ambao wanakumbana na matatizo ya kompyuta, tunaweza wasiliana na kufanya kazi zao chini ya makubaliano.
- Computer installation,repair...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Masaki, Msasani, Mikocheni Oysterbay from $500-$800 pm. 3 bedrooms, 2 baths, parking and either apartment or stand alone. Water should not be a problem at...
Ni kiwanja kizuri. Kipo maeneo ya Kishiri -Igoma Mwanza. Kinaukubwa wa (urefu 45 na upana 39). Kipo pembe ya Barabara na Jirani na Shule. Pamechangamka na panafaa kwa biashara. Pia kuna miti ya...
Kiwanja kinauzwa kipo Sombetini duka la Cement kinafaa kwa makazi na biashara ukubwa 20 kwa 25 kipo barabarani kabisa bei maelewano.
Ni-PM au tumia namba: 0762 982004
Wakuu nahitaji simu tajwa hapo juu. biashara ipo hivi; exchange ila nitaongeza kiasi flani cha pesa depending na simu uliyotoa ofa. picha cjaipiga ila ipo katika good working condition. Google...
Wadau habari zenu?
Nauza Tv yangu LED TV Inch 22 aina ya Kodtek ipo kwenye box lake na rimoti yake,nimetumia miezi miwili tu.
Haina shida yeyote,Tv ipo Sakina,Arusha.
Bei:220,000/=(LAKI MBILI NA...