Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Ipo eneo la Gangilonga Iringa, barabara ya kwenda Dodoma (mita mia kutoka Kituo cha Tanesco ya zaman). Lina ukubwa wa Ekari moja. Hati ni ya biashara, unaweza kubomoa na kujenga chochote cha biashara na ni karibu na club La Parte.
Liko well fenced (ukuta wa nguvu), ukijifungia humo ni wewe tu na utakayoyafanya. Bei ni milioni mia sita (600,000,000/), maelewano yapo (dalali hahitajiki kabisa).
Karibuni sana.
Liko well fenced (ukuta wa nguvu), ukijifungia humo ni wewe tu na utakayoyafanya. Bei ni milioni mia sita (600,000,000/), maelewano yapo (dalali hahitajiki kabisa).
Karibuni sana.