AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
WAKUU, nahitaji mlango wa duka/chumba cha duka hata kama kidogo sana lakini maeneo ya posta dsm, nitapataje kwa anayejua. kama dsm huwa ni ngumu naomba kujua uzoefu kwa mikoa kama mwanza, mbeya, morogoro na mwanza inawezekanaje kupata. ninachouliza ni namna ya kuvipata kwasababu nimetafuta naona ni ngumu san akuvipata. hata kama ni kwenye nyumba mbovu nahitaji sana chumba cha biashara. kwa wale wazoefu naomba kujua mlipataje na malipo mnafanyaje na kwa kipindi kipi na uzoefu wa mikataba yenu mnafanyaje.