Hahahaha,
Wakuu sio mie,mie nipo,nimetaja hiyo bei baada ya kuona yeye mhusika kauchuna,kwahiyo nikawa na mboost.
Hata kwa wenye kufaham my numbers hizo sio zangu,mie natumia Zantel na Tg kama backup line kwa ajili ya mambo ya pesa.
Uhakika zaidi mnaweza ku trace hizo numbers.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.