K KAUMZA JF-Expert Member Joined Aug 31, 2010 Posts 699 Reaction score 241 Nov 20, 2014 #1 Wanajukwaa, Salaam!! Nimetokea kuipenda timu ya Azam FC, na katika kuwasapoti ninataka kununua jezi yao Orijino. Nitaipataje? Na inauzwaje? Pia, mwenye mawasiliano ya Azam FC naomba atupatie hapa hapa JF
Wanajukwaa, Salaam!! Nimetokea kuipenda timu ya Azam FC, na katika kuwasapoti ninataka kununua jezi yao Orijino. Nitaipataje? Na inauzwaje? Pia, mwenye mawasiliano ya Azam FC naomba atupatie hapa hapa JF
tamimusalim JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,822 Reaction score 501 Nov 20, 2014 #2 We za nini jizi mkubwa weww
egentle JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 808 Reaction score 392 Nov 20, 2014 #3 KAUMZA said: Wanajukwaa, Salaam!! Nimetokea kuipenda timu ya Azam FC, na katika kuwasapoti ninataka kununua jezi yao Orijino. Nitaipataje? Na inauzwaje? Pia, mwenye mawasiliano ya Azam FC naomba atupatie hapa hapa JF Click to expand... Haya tazama hawa hapa https://www.google.com/url?q=http:/...sQFjAA&usg=AFQjCNH4LYyOqkU2jdlAvfwXjhTPx_kDdg
KAUMZA said: Wanajukwaa, Salaam!! Nimetokea kuipenda timu ya Azam FC, na katika kuwasapoti ninataka kununua jezi yao Orijino. Nitaipataje? Na inauzwaje? Pia, mwenye mawasiliano ya Azam FC naomba atupatie hapa hapa JF Click to expand... Haya tazama hawa hapa https://www.google.com/url?q=http:/...sQFjAA&usg=AFQjCNH4LYyOqkU2jdlAvfwXjhTPx_kDdg
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,032 Reaction score 10,460 Nov 20, 2014 #4 Mie huwa naedda pale kwenye Duka lao Uwanjani. Nenda uwanja wa Chamanzi Complex zipo Kibaoo.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,032 Reaction score 10,460 Nov 20, 2014 #5 Na ukitaka mawasiliano yao iingia kwenye website yao. Ila kama umetumwa upige promo kiaina basi Ushindwe na utepete
Na ukitaka mawasiliano yao iingia kwenye website yao. Ila kama umetumwa upige promo kiaina basi Ushindwe na utepete