Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa wale wanaohitaji sony Xperia z baada ya zile kuisha zmekuja nyingine piece tatu moja wapo ni XPeria Z1. Tafadhali wahitaji wani pm. Smu.zote bado mpya .
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba vitatu,sitting,jiko,public toilet inapangishwa.iko tabata kimanga 100meter toka barabara kuu kodi ni 250,000/= Kwa mwezi inapokewa kodi ya miezi sita. Pia iko ndani ya uzio na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bei ni laki mbili tu nicheki na namba hii 0753947515
0 Reactions
4 Replies
1K Views
haina tatizo lolote,ni pm ukiwa interested
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Wadau, Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014 (USA), inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, payroll, pay bills, create invoices.... etc Pia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini za muda huu. Samahani anayemfahamu fundi mzuri wa kushona mapazia anisaidie kunielekeza mapali alipo Nataka kushona mapazia yangu ni vey urgent. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanaukumbi. Nipo na mashine ya zenge ambayo ipo katika hali nzuri. Ni mashine nzuri kwa compuni ya ujenzi. Mashine tayari ipo Zanzibar eneo la kwa mchina. Iwapo unahitajia waweza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
shamba lenye ukubwa wa eka nane 8, liko karibu na chuo kikuu cha MANDELA arusha lina uzwa. mwenye kuhitaji pls pm tuelekezane,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamvi, Ongeza kipato chako kwa muda wa ziada bila kuathiri kazi zako za kila siku na pia kama huna kazi ni nafasi yako ya kujiajiri na kutengeneza kipato cha maana usisubiri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tafadhari mwenye aina ya gari hapo juu naomba tuwasiliane
1 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa yoyote anayehitaji asisite kunipigia kwa namba 0753947515
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari zenu wanaukumbi. Nipo na hydrolic concrete mixer safi kabisa na kwa bei nafuu. Mashine tayari ipo Zanzibar. Hii ni mashine nzuri kwa wale wenye biashara za ujenzi. Tuwasiliane na Nassir...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
A private cloud server is designed by segregating a main physical server into multiple virtual servers. This helps the hosting service providers in apportioning common resources required by each...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Karibu bei 60,000 tu piga namba 0768512931
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nashukuru kwa supports zenu, Ukubwa wa kiwanja ni 82m kwa 48m Documents zote zipo Picha za gari ni hiz Picha za gari ni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Guys, nauza usb flash disk inayoweza kuwa connected kwenye smartphone na kwenye compute pia...that means ina ports za aina mbili.Hii ina maana kwamba unaweza kuhamisha files to and from your phone...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau Natafuta Computer yoyote yenye Processor ya i3 au mashine yoyote ya Xion HDD isiwe chini ya 500 GB na Ram iwe 4GB Bajeti yangu ni 200,000 CPU tu. Kama mtu ana Laptop i3 isiyozidi 300,000...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam kwenu!! Kama title inavyojieleza bei 75,000 Tsh nipo Dsm-Tmk-Mbande-0789 780 200. N.B Ku_upload picha inashindikana natumia mchina.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
kipo sehemu nzuri na kifikika kwa urahisi kwa kutumi njia zote za UDSM na makongo juu... mawasiliano : 0755416980 0688354089
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ya laptop,,,kama una 15,000/= tu ni pm
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…