Nauza gari na kiwanja

Nauza gari na kiwanja

GARETHBALE

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
76
Reaction score
334
Nashukuru kwa supports zenu,
Ukubwa wa kiwanja ni 82m kwa 48m
Documents zote zipo

Picha za gari ni hiz





Picha za gari ni Subaru 1.jpg Subaru 2.jpg Subaru 3.jpg Subaru 4.jpg Subaru 5.jpg
 
Mkuu,

Samahani. Hujaweka details za kutosha. Mfano;
1. Mahali kiwanja kipo.
2. Bei yake.
3. Kimepimwa au hakijapimwa.
4. Bei ya gari.
5. mawasiliano (ikihitajika).


Tafakari.
 
Mkuu,

Samahani. Hujaweka details za kutosha. Mfano;
1. Mahali kiwanja kipo.
2. Bei yake.
3. Kimepimwa au hakijapimwa.
4. Bei ya gari.
5. mawasiliano (ikihitajika).

Tafakari.

More details kwa gari:
1. Ya mwaka gani
2. Imetembea KM ngapi
3. Sababu za kuuza
4. Ina cc ngapi
5. the list goes on detailing...........
 
Kiwanja kipo mbagala maeneo ya kichemchem,bei ya Kiwanja ni 4m na bei ya gari ni 3.5m mawacliano 0652713523
 
Gari ya mwaka 2000 imetembea km 150000 sababu ya kuuza nampeleka mama India kwa matibabu
 
Kiwanja kipo mbagala maeneo ya kichemchem,bei ya Kiwanja ni 4m na bei ya gari ni 3.5m mawacliano 0652713523
Pole kwa matatizo.
Nimejaribu namba yako sijaipata. Inasema namba haipo!
 
Back
Top Bottom