kichakorojack
Member
- Sep 19, 2011
- 78
- 12
Habarini za muda huu. Samahani anayemfahamu fundi mzuri wa kushona mapazia anisaidie kunielekeza mapali alipo Nataka kushona mapazia yangu ni vey urgent.
Asanteni.
Asanteni.
Habarini za muda huu. Samahani anayemfahamu fundi mzuri wa kushona mapazia anisaidie kunielekeza mapali alipo Nataka kushona mapazia yangu ni vey urgent.
Asanteni.
Tafuta hawa jamaa wanaitwa Morco textile namba mawasiliano yao nimepoteza. .
Wasiliana na huyu 0754001572 anapatikana gerezani hutajutia wasiliana nae ni fundi mzuri halafu uje ulete mrejesho hapa.