Jipatie Quick Books PRO 2014

Jipatie Quick Books PRO 2014

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Wadau,

Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014 (USA), inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, payroll, pay bills, create invoices.... etc Pia ina keys zake. Ipo kwenye CD yake pamoja na kasha lake.

Kwa wasio ifahamu, hii ni njia nzuri ya bora, ya kisasa na salama ya utunzaji wa kumbukumbu zako za kifedha ni kwa kutumia software inayoitwa quickbooks, hauna haja ya kukaa na kuanza kuumiza kichwa kuangalia kilichoingia na kilicho toka. Unachokifanya wewe ni kuangalia report zako tu.

Baada ya kuingiza taarifa zako za kifedha kwa mwezi mzima, ukijaangalia report itakupa majibu yote. Hii software ni nzuri kuanzia wenye maduka madogo, wenye kampuni ndogo ndogo na aina yoyote ile ya biashara ambayo inaendeshwa kisasa. Huu ni wakati wa kuacha kutunza kumbukumbuku kwenye madaftari kwani ni rahisi sana kupoteza.

Gharama ya Quickbooks pamoja na video zake zote na keys ni sh. laki na ishirini tu. Kama unahitaji nitafute PM au wasiliana nami kupitia email yangu: tonyhaule@hotmail.com

NB: Ukinunua tatu kwenda juu nakuuzia kwa laki moja tu.

 
Ukifanya copy utaiuza kwa sh. Ngapi?
 
Very very cheap!!!! inawezekanaje hii while hata ukinunua kwao on line si chini ya dola 300?
 
hii ni cd tu mkuu au sijakuelewa. kama hauifahamu jaribu kugoogle kidogo upate walau mwanga. Nakukaribisha sana


Ahaaaaaaaaaa,nimekupata,kumbe zile software,mi mawazo yng yalidhani ni kama ka note book fln hc cheni program hzooo
 
Nahisi itakuwa trial version maana kwa bei hiyo sidhani kama ni kweli au cracked ambayo inakuwa haina baadhi ya mambo. Fungua mkuu
 
Niko mkoani, waweza kuniletea, ? Weka namba.
 
Version ya USA tatizo liko kwenye VAT computation, kama una toleo la UK ndiyo inaendana na Tanzania VAT.
 
Nahisi itakuwa trial version maana kwa bei hiyo sidhani kama ni kweli au cracked ambayo inakuwa haina baadhi ya mambo. Fungua mkuu

:mvutaji:😛eep::msela::A S-coffee:
 
:mvutaji:😛eep::msela::A S-coffee:

Jamani members msaada jamani ninauza friji la ranging ya silver sumsung,kabati dogo la vyombo,kabati kubwa la Nguo mbao ya mninga,TV flat screen samsung,dressing table mbao ya mninga,kitanda na godoro lake,radio kubwa Panasonic, na sofa,lakini sijajua jinsi ya kupost picha na kuandikia tangazo language liwe kama ndio kichwa cha habari!nisaidieni nifanyaje?
 
Mzigo unazidi kutokomea, wahi sasa.
nitumie namba yako ya simu nikupigie, email yangu:tonyhaule@hotmail.com
 
Back
Top Bottom