Gari kati ya spacio _new model, ist, swift au vits new model na nyingine dizaini hiyo inatafutwa kwa bei husika hapo juu. kama IPO nicheki halafu nakupa mhusika mkuu anayetafuta gari hiyo uongee...
Uyoga unauzwa kwa bei nafuu, ni uyoga wa hapa hapa Tanzania, ni fresh, haujawekwa madawa. karibuni kama ukihitaji tuwasiliane kwa pm baadae tutapeana namba. KARIBUNI SAAAANA.
FURSA...
Duka la Mpesa linauzwa, lipo buguruni mnyamani.
Line tatu, mpesa, tigo pesa na airtel money zinauzwa kwa tsh laki 9.
Vitu vingine vya dukani maelewano.
Duka tayari lina wateja na...
NDG WATZ WENZANGU NI RAHISI MNO KUMILIKI PLOT NA KUJENGA NYUMBA DAR ES SALAAM KWA KUNUNUA PLOT KWANGU ZA BEI NAFUU. PLOTS ZIKO MSONGOLA ILALA ZA UKUBWA ZIFUATAZO:
50ft * 40ft = 2,000,000/=
100 ft...
Wadau
Nauza TOYOTA BREVIS pichani
CC 2500
Mailage 99,654
Haijawahi kupata ajali yoyote
Ipo Dar es Salaam
Bei Ml.9.3
Mteja serious tuwasiliane kwa namba ya simu 0713 810801
Karibuni
wakuu kama heading inavyojieleza nahitaji hiyo tablet kama kuna mtu anayo ila iwe katika hali nzuri kidogo.
kwa yoyote mwenye nayo anaweza kuni MP
karibu sana
1. Lina ukubwa wa ekari 30 (hatua 70 x 70)
2. Linatambulika na uongozi wa kijiji cha Ulaya, Kilosa. Kutoka kijijini mpaka Kilosa mjini ni km 15.
3. Liko kando mwa barabara kuu ya kutoka Kilosa...
Ndg mwenye toyota IST no C ofa mil 7 inaweza ongezeka kulingana na gar anicheck tufanye biashara vzr awe dar.nitafute kwa hii no 0768359292 tufanye biashara
NDG WATZ WENZANGU NI RAHISI MNO KUMILIKI PLOT NA KUJENGA NYUMBA DAR ES SALAAM KWA KUNUNUA PLOT KWANGU ZA BEI NAFUU. PLOTS ZIKO MSONGOLA ILALA ZA UKUBWA ZIFUATAZO:
50ft * 40ft = 2,000,000/=
100 ft...
kwa mara nyingine viwanja vimebaki vichache sana
eneo tambarale hapajapimwa ni jirani na shule na hospital mabwe pande
umeme haupo mbali maji ya kuchimba karibuni kwa wanaohitaj tuwasiliane
0716...
Tegwa Investment ni watengenezaji wa sabuni za magadi(kigoma) za miche.
Sabuni hizi ni nzuri kwa kuogea na kufuria,tunauza kwa jumla.
Pia tunatoa mafunzo ya utengenezaji wa sabuni hizi...
Yeyote anayejua vizuri juu ya Magari aina ya Subaru Forester naomba anisaidie. Nataka kujua juu ya garama za spare parts, uimara wake kwa matumizi ya Barbara zetu na fuel consumption. Asante ni wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.