dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
Nyumba ya vyumba vitatu,sitting,jiko,public toilet inapangishwa.iko tabata kimanga 100meter toka barabara kuu kodi ni 250,000/= Kwa mwezi inapokewa kodi ya miezi sita. Pia iko ndani ya uzio na inajitegemea kwa kila kitu kama maji na umeme.
Mawasiliano piga: 0714358610
Mawasiliano piga: 0714358610