Offer: Pata USB flash disk inayoweza kuwa connected kwenye smartphone na kwenye computer

Olympus

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
2,817
668
Guys, nauza usb flash disk inayoweza kuwa connected kwenye smartphone na kwenye compute pia...that means ina ports za aina mbili.Hii ina maana kwamba unaweza kuhamisha files to and from your phone au pc na kuweka kwenye flash au ukaweka mafile from the phone directly mpaka kwenye flash, Bei zake ni kama ifuatavyo:

8gb~tsh.32,000/=
16gb~tsh.40,000/=
32gb~tsh 45,000/=

Kwa anayehitaji hizi device basi anicheki kupitia 0689341445
 
Je zina setup yoyote?niliwahi kununua moja lakini Galaxy tab 3 lite yangu ikagoma kuitambua!
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    2.9 KB · Views: 230
  • images_2.jpeg
    images_2.jpeg
    2.1 KB · Views: 228
Back
Top Bottom