Hydrolic concrete mixer kwa bei nafuu

Hydrolic concrete mixer kwa bei nafuu

sedouf

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
28
Reaction score
10
Habari zenu wanaukumbi.
Nipo na mashine ya zenge ambayo ipo katika hali nzuri.
Ni mashine nzuri kwa compuni ya ujenzi.
Mashine tayari ipo Zanzibar eneo la kwa mchina.
Iwapo unahitajia waweza kuwasiliana na Nassir (0777242234) au Abdul (0777438323)

Pia mipo na water pumb yenye uwezo mubwa ambayo inafaa kwenye shuhuli za umwagiiaji maji .
Ahsanteni
 
Ninependelea kupata milioni 5.5 tu kwa hii mixer.ni bei ya kutupa mno ukilinanisha na bei halisi.pia nipo na tow behind compactor ambayo nitajitahidi kuweka picha zake baadae.
 
Najishuhulisha na biashara za used.kazi yangu ni kuleta used staff na kuuza.kwa hiyo kuiuza ndio lengo langu @ lolyz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom