Nauza Beberu Bei Chee

Nauza Beberu Bei Chee

Ibravo

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
539
Reaction score
202
Salam kwenu!!
Kama title inavyojieleza bei 75,000 Tsh nipo Dsm-Tmk-Mbande-0789 780 200.
N.B Ku_upload picha inashindikana natumia mchina.
 
Huu ndio wakati muafaka wa kuandaa kitoweo cha sikukuu, sema tu upo mbali sana na mimi.
 
Mkuu umepata mchepuko nini?

Haahaaah mchepuko sio dili bado nipo njia kuu ingawa kuna jam ila nikishika mtonyo mithili ya Escrow ntachepuka.Lete mpunga huo nikuachie beberu ukachinje X_mas!
 
Huu ndio wakati muafaka wa kuandaa kitoweo cha sikukuu, sema tu upo mbali sana na mimi.

Sema tu upo wapi maana dunia ya sasa ni kama kijiji naweza kukutumia hata ktk instagram.Just a joke,
Uko wapi?
 
Ni mbegu gani beberu unalouza? Lina umri gani? Kwa nini unauza?

Mbegu gani sifaham ila si wa kizungu wala chotara ni wa kawaida.
Umri nao sifaham coz nimemnunua huu ni mwezi wa sita sasa,anapanda na ameota ndevu.
Reason ya kuuza ni kwamba nafasi ya kufugia ni finyu sana haijitoshelezi kwa ufugaji huu wa mbuzi,hawa mbuzi nilinunua wawili jike na dume so dume nimeamua kumuuza na jike nimeamua nimtafune nyama aisee ili nibaki na kuku & bata.
Nina imani maelezo yangu yamejitosheleza na kama bado una la ziada ruksa kuuliza.
 
Haahaaah mchepuko sio dili bado nipo njia kuu ingawa kuna jam ila nikishika mtonyo mithili ya Escrow ntachepuka.Lete mpunga huo nikuachie beberu ukachinje X_mas!

Bei ya chini ngapi mkuu? nahitaji kama wanne.
 
Hi i kweli unauzaa kitu huweki bei are u serious.?put price also picture.
 
Haahaaah mchepuko sio dili bado nipo njia kuu ingawa kuna jam ila nikishika mtonyo mithili ya Escrow ntachepuka.Lete mpunga huo nikuachie beberu ukachinje X_mas!

Mbona bei rahisi sana? Ana kg me nahitaji hiyo kitu
 
nimekusoma je una bata msemeno au wanaitwa bukini.so mzinga wala bata maji.gi yes.price pld nipo kmr.
 
Hi i kweli unauzaa kitu huweki bei are u serious.?put price also picture.

Naona bado una maluweluwe ya usingizi nenda kachape usingizi tena & then urudi ku_comment.Kwa hii quote yako moja tu ni dhahiri wewe si mnunuzi acha kukimbilia ku_quote mada kama hujui kusoma rudi QT.
 
nimekusoma je una bata msemeno au wanaitwa bukini.so mzinga wala bata maji.gi yes.price pld nipo kmr.

Haahaaahaah we mjamaa inaonyesha mgumu sana wa kuelewa,ebu jaribu kwanza japo kuvuta pumzi maana nahisi una papara sana hebu rudi ktk title kwanza,unaanzisha mada za bata bukini sijui bata matope dah!
 
Mkuu siku ya kumtafuna huyo jike,unipm nije kukusalimia.
 
Back
Top Bottom