Habari!
Natafuta masoko / wateja wa kamba za katani / kudu kwa bei ya jumla;
Kamba ya mita 100 kwa piece 10 ni sh 15000, kamba ya mita 200 kwa piece 10 ni sh 30000. Kwa anayehitaji au anamjua...
Habari wadau !! Nauliza maduka ya vifaa vya maabala kwa shule Za sekondari hapa dar ninaweza pata wapi?? Nawasilisha
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hbari zenu wadau, nategemea kuagiza gari toka japan kwa kutumia kampuni ya BE FOWARD, aina ya gari Toyota PASSO ya Mwaka 2005,cc 990; CIF 2,183.Tatizo langu FORMULA YA TRA ndo sielewi mnaweza...
Mashamba matatu kila moja lina ekari 1. Yanapatikana Kata ya Visiga kituo cha madafu. La kwanza lipo kilometa 1 na nusu kutoka morogoro road, bei 3.5mil. La pili lipo kilometa 4 kutoka morogoro...
Mtaji wa TZS 80,000
Kwa mtaji wa TZS 80,000 tu utaweza kuigeuza simu yako kuwa mtambo wa kutengeneza pesa zaidi ya TZS 1,000,000 kwa mwezi na kupata huduma za bure za mawasiliano.
Kwa habari...
Habari za kazi wakuu. Nahitaji plastic ngumu (plastic sheeting) kwa ajili ya kutengenezea light boxes za matangazo. Yeyote aliyenazo au anayejua zinapatikana wapi tafadhali anifahamishe.
Ni spea za gari za Toyota, Nisan,mistubish,nå Suzuki.Wapo ilala Lindi nå shauri moyo spea zetu tunachukua kutoka Dubai nå japani .gerentii tunakupa nå walio mikowani wanawwza kutumiwa kwa...
Toangoma - Kigamboni. Kipo karibu na barabara kuu inayounganisha kigamboni na kongowe. Mita za mraba 533. Hakina mgogoro na kipo karibu na huduma za jamii. Bei: Mil 14 - Haipungui. Serious buyers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.