Habari zenu wadau jukwaani:
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS tuyofura kuwafikishia fursa wale Wajasiriamali,Wafanyabiashara na Wawekezaji wanaohitaji nyumba za kununua maeneo ya sinza...
Kwema?
Fundi anahitajika wa kunichekia printer yangu, siku nyingi haijatumika imejaa vumbi. Pia power cable yake pamoja na usb cable vimepotea hivyo mwenye navyo tuongee.
Aina ya printer ni...
Ipo Kibaha picha ya ndege,vyumba 7 na stoo,choo na bafu vinajitegemea,na kunawapangaji wanaishi, bei inaanza 20ml,na maelewano yapo, barabara hadi uwanjani,,
MAWASILIANO;
0686 958013
0755 143486
Habari kwenu wakuu... kama title inavyoeleza mimi ni kijana nimemeliza course ya medicine na sasa nipo kwenye internship program na nina salary ya 1056000/=. Natafuta mkopo wa 2,500,000 nahitaji...
TABLET AINA YA SWAG EXPERT 101 INAUZWA KWA TSH 200000,IPO IN GOOD CONDITION,ONLY 2 MONTHS USED INA SPECIFICATIONS ZIFUATAZO,UNAPATA NA CASE YAKE BUREE
Display Display Size 7Inch Screen
Display...
Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master, jiko, public toilet, dining, fence gari inalala ndani. Bei ni 600,000 kwa mwezi,maongezi
yapo. Tuwasiliane 0755 099 291,
Picha zimezingua unaweza...
paka rangi ukuta wako kwa maumbo na pattern mbalimbali ambazo zitauacha ukuta wako unavutia kama umebandika wallpaper... piga, tuma message au watsap 0713553387 kwa maelezo zaidi.
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00).
Kiingilio ni bure.
Kwa maelezo zaidi piga 0753499766
Naam, kwa mara nyingine tena nakuja na habari njema kwa wana JF. Jipatie Western Digital External Hard Drive ya 1 TB kwa Tshs.160,000 tu.
Hard disk hii inasupport both USB 2.0 and 3.0 na ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.