Nauza kiwanja kipo Changanyikeni

Nauza kiwanja kipo Changanyikeni

bullbar

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
458
Reaction score
785
kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089
 
kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089

Mkuu embu jifanye kama wewe ndio mteja halafu umekutana na tangazo kama hili lako, utajisikiaje?

Kwani kuna ubaya gani ukiweka japo ukubwa wa kiwanja achilia mbali bei na kama kimepimwa
 
Mkuu embu jifanye kama wewe ndio mteja halafu umekutana na tangazo kama hili lako, utajisikiaje?

Kwani kuna ubaya gani ukiweka japo ukubwa wa kiwanja achilia mbali bei na kama kimepimwa

nimekusoma xfactor..urefu ni 60m square na upana ni arobaini
 
nimekusoma xfactor..urefu ni 60m square na upana ni arobaini

Bullshit inamaana wewe huelewi anachouliza xfactor.

msitupotezee muda , na tubadilieke: weka bei, ukubwa, eneo, maelezo muhimu mtu akirdhika na hayo ndio atakupigia ; kwa staili hii hatutaendelea
 
Bullshit inamaana wewe huelewi anachouliza xfactor.

msitupotezee muda , na tubadilieke: weka bei, ukubwa, eneo, maelezo muhimu mtu akirdhika na hayo ndio atakupigia ; kwa staili hii hatutaendelea

Ukiwa tayari una maelezo kamili kama alivyokuelekeza Kinyau hapo juu nione PM tuongee.
 
kiwanja kinafikika kwa urahisi kwa njia ya UDSM na makongo juu..kiwanja kizuri hasa kwa makazi.
mawasiliano: 0755416980 au 0688354089

Madalali mna shida sana aisee, unaogopa kuweka bei hapa mwenye Kiwanja akiona umeweka cha juu kingi Itakua msala?
 
Madalali mna shida sana aisee, unaogopa kuweka bei hapa mwenye Kiwanja akiona umeweka cha juu kingi Itakua msala?

shark punguza jazba mi sio dalali..na pia bei ni maelewano..ukubwa wake nimetolea maelezo...kiwanja hakijapimwa hiyo namba ya voda ni ya mzee namim kwasasa sipo dar kwa maelezo yote mcheki atakupa majibu mazuri tuu
 
Ukiwa tayari una maelezo kamili kama alivyokuelekeza Kinyau hapo juu nione PM tuongee.

tougher labda unieleze maelezo gani ya ziada ...coz kiwanja kina ukubwa wa 60*40 mtr sqr..bei ni maelewano..kiwanja hakijapimwa, kinafikika kwa all means of transport basicaly land...
 
sorry ndugu zangu nlikuwa nimeishiwa chaji..nsha wa PM wote mlio request
 
Huyu jamaa simuelewi kabisa anaficha bei hata PM.

mbise bei nimekwambia maelewano sasa itakuwaje fixed ndugu...raha ya biashara kitu ukione ndio tuanze kupatana...nina nia nzuri tuu ndugu yangu
 
Weka bei elekezi hapa !!

Mbona tangazo lako hukuliweka kwenye PM???
 
vimekatwa in terms of three portions ...lkn sio chini ya million 20 kwa kimoja
We jamaa una shida bana,
Hivi hutaki kuweka bei Mpaka mtu aje private, si akishakuja private ukampa bei atairudisha hapa then yatakua Yale Yale tu??

Cha juu kina shida sana aisee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom