msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 771
- 643
Hbari zenu wadau, nategemea kuagiza gari toka japan kwa kutumia kampuni ya BE FOWARD, aina ya gari Toyota PASSO ya Mwaka 2005,cc 990; CIF 2,183.Tatizo langu FORMULA YA TRA ndo sielewi mnaweza nisaidia ntatakiwa niwe na kiasi gani ili niweze kuileta na mpaka kuitembelea barabarani, naombeni mchanganuo wenu wadau. asanteni.