Nenda maeneo ya ofisi za channel 10/dtv kisutu, mkabala WA ofisi hizo kuna supplier WA vitu vya maabara. Mm Nina ofisi hutafuta na kusupply bidhaa hizo na nyinginezo, hivyo naelewa hapo utapata.
Humu jukwaani !! Mijitu IPO kwa kukosoa! Maneno tuu haina na wala haijui !! Sasa kama hujui si upite tuu! Msijifanye wajuz wa lugha kumbe hamna kitu !! Asante mdau uliyenielekeza hii ndio maaana ya hii site !! Lugha ingia kwenye site yake mkarekebishane!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.