Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mi nipo lushoto Tanga, mwenye used laptop aniuzie kwa laki tatu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
natafuta sehemu nzuri ya kuuzia chipsi, au kama kuna MTU anauza au anaachia sehemu yake, au tufanye pamoja... mawasiliano 0764183123
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, na poleni na pilika pilika za mwaka 2015. Kutokana na wingi wa wadudu ambao ambao wanaweza kukuletea magonjwa mbalimbali, Napenda kuwaeleza kuwa sisi ni kampuni ambayo tunapulizia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta Tshirt kwa ajili ya wanafunzi. kwa mwenye taarifa wapi zapatikana anipm ili tuwasiliane kwa mapatano ya bei, rangi na idadi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jameni inahitajika hiace nzuri kabisa budget 17m
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Wakuu natafuta chumba cha kupanga mkoani Dodoma....kiwe self contained... maeneo ya area c, area d, area a, maili mbili, airport, town na maeneo yote along barabara ya kwenda arusha....kikiwa cha...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuwanja kizuri kinauzwa Kipo Zinga kwa Awadh Bagamoyo, Ukubwa ni 25x25, miundombinu yote ipo I,e umeme, maji na mengineyo, Eneo limejengeka sana, Ni karibu kabisa na barabara kuu ya DSM-BAGAMOYO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari guys, Natafuta fundi haraka wa kushona Uniform kwajili ya walinzi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa aliye serious ani pm 17m tsh CIF TO DAR
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye hii modem anetaka kuiuza ni pm
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Zote zipo bagamoyo. Zina miezi sita tu tangu zinunuliwe zilikuwa zinatumika kama bodaboda boxer ni nyuesi no cwe sunlg (kibao cha mbuzi(cg)) ni no cyy bei ya boxer ni mil 1.4 (tsh 1,400,000) bei...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wadau za mwaka mpya 2015? Rafiki yangu anauza kiwanja chake kipo Pongwe,takribani kilomita tano toka Pongwe bus station. Kina ukubwa wa futi 80X50. Kipo jirani na umeme,maji na kuna barabara za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niko Moro town nahitaji feni ya kawaida.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung smart tv inc 32 ipo very slim kupita maelezo ina uwezo wa kuchat facebook,twitter na kadhalika kuingia playstore nauza laki 8 tuu kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
4 Replies
1K Views
لهیچبخیهسخب تبلیغاتشان اطهییتنلسسن
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nahitaji motherboard ya samsung galaxy s3 i9300, au mwenye s3 iliyokufa digitizer aniuzie kama spear
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji iphone Samsung au Nokia budget 400000
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tafadhali ni pm tuzungumze nipo dsm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unahitaji Laptop na unahisi kiwango cha fedha ulichonacho hakitoshelezi, tupigie simu namba 0755 770716 / 0655 770716, tukutajie aina tunazoweza kukupatia kwa bajeti yako, Karibu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nahitaji hiyo cm iPhone 5s iwe ime2mika kidogo, iwe kama mpya bajeti laki5
0 Reactions
7 Replies
961 Views
Back
Top Bottom