Fursa: Sehemu ya chipsi inatafutwa

Fursa: Sehemu ya chipsi inatafutwa

mpenda1961

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
123
Reaction score
78
natafuta sehemu nzuri ya kuuzia chipsi, au kama kuna MTU anauza au anaachia sehemu yake, au tufanye pamoja... mawasiliano 0764183123
 
Oh kuna jamaa last week alikuwa ameweka tangazo anauza sehemu nzuri na vifaa vyake, I think ni Kimara Mwisho, jaribu kutafuta hilo tangazo utaliona
 
Yule mzinguaji coz mi pia nilikuwa natafuta nimemcheki tufanye biashara hata hata kuelekeza alipo, mara simu hapokei
 
Back
Top Bottom