nyumba inapangishwa sinza palestina pembeni ya hospitali, vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, choo, umeme wa kujitegemea na maji yapo,
tsh 300000/ kwa mwezi
info: 0788670803
Kina ukubwa wa 1200 sqmts. kipo upande wa kushoto ukitokea Mwenge. Kipo karibu na St Mary Primary School.
Bei 35mil. Ukihitaji kukiona piga simu namba 0717114409 au info@kitomai.com
line za m-pesa na airtel money zinauzwa... bei kwa zote mbili ni 250000 ukitaka mojawapo bei maelewano... nitafute kwa namba 0755659258 au 0715848516 hii ni kwa wadau wa sumbawanga mjini... ukiwa...
Caina SI silver, haijawahi kupata ajali, odo inasoma 180,000 Km, sport ream, tairi mpya na sio mchina. Bei milioni 6 tu, dalali hatakiwi.
Picha ipo hiyo moja hapo nyingine za pande zote na ndani...
Simu ni used na ipo katika hali nzuri. Kwa mteje anayehitaji anigongee 0716300091 fasta. Nina shida na hiyo pesa A.S.A.P.
SIMU IKO NA CHARGER, USB NA HEADSETS.
Key Features
Android 4.2 OS...
duka rejareja linauzwa na kila kitu chake.kwa anaetaka maendeleo kuna duka la vifaa mbali mbali,soda,nafaka,sabuni na vifaa vyote unavyovijia kwa matumiz ya kila siku linauza.duka lipo maeneo ya...
Wakuu Salaam!
Napenda kuwauliza wale wenye ufahamu na upatikanaji wa hivyo vikombe na visahani kama containers vya silva vyenye mfuniko wake.
Na pia bei yake Nipo Mwanza
Asante.
Shamba ekari mbili na nusu zinauzwa.
Zipo kijiji cha Kitefu,kata ya Maji ya Chai Wilaya ya Arumeru.
Bei ni 7.5m kwa ekari moja
Zinafaa kwa kilimo, na ufugaji.
Kwa anayehitaji karibu pm
Habari zenu wana Jamii Forum, Naomba kuuliza wapi naweza pata keki nzuri ya birthday hapa New york? Nashindwa kumwuliza mwenyeji wangu nimekuja kumtembelea na mwanzoni.mwa mwezi ujao ni birthday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.