Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam Wadau Toyota Carina Ti 1490cc, rangi nyeupe ya mwaka 1999 inauzwa ipo Dar (Nimeambatanisha na picha) kwa maelezo zaidi piga namba 0787627437 au 0769096861.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza magari ya aina tofauti tofauti kwa bei za kawaida kwa uhitaji wako. Piga simu au tuma sms au whatsapp nitakujibu 0656 43 66 62
0 Reactions
4 Replies
2K Views
linauzwa mil 5 tu., lilikuwa linatumika kama duka. contact 0713 77 47 46. .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani pole na majukumu, fuso/ tipper inahitajika ya kuanzia mwaka 2000 kuja mpk kwny 2005, karibu tufanye biashara!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PHOTO ENTRY KWA SHILINGI 500/= TSHS KWA PICHA Tunafanya photo entry kwa wote watakaohitaji huduma yetu, tutamaliza ndani ya dakika 10. VITU MUHIMU VYA KUWA NAVYO NI picha za wanafunzi wako...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu natafuta king'amuzi cha Ting na dish lake tafadhali. 0754626616 nipo Arusha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jipatie Lenovo ThinkPad T61 with 4gb RAM and 160GB Harddisk. Piga namba 0755 770716 / 0655 770716 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iPhone 4s BLACK! Verry maintained. Comes with cover and front and back protector + charger. Call; 0683118676 Price; 350k
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UNLOCK HERE YOUR PHONE LIKE HUAWEI,VODAFONE,PAN-TECH,IPHONE,NOKIA,SAMSUNG,BLACKBERRY IPHONE 4,4S,5,5C,5S,6,6+NK HUAWEI Y530,Y520,Y330,Y300,Y221,Y220,Y200 JUST FOR 9,000/= MPESA.(DAKIKA 15-45)...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
kama we ni fundi rangi mzuri wa nyumba tafdhari wasilina nami kwa PM. Mimi nipo Dar es Salaam, nyumba ipo Kinondoni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninauza iphone 5 black and gray ya gb 16. Simu ni kama mpya...haina scratch wala dent yoyote. Bei yangu ni 600,000 Kwa mawasiliano nitafute kwa 0763969066
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Ujenzi ni wa gorofa ya makazi, kwa hiyo mafundi wataalam, naomba mniPM ikiwezekana na baadhi ya kazi zenu. nipm nikupe email address yangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mwenye suzuki vitara nahitaji ya kununua! iwe katika hali nzuri! nipo DSM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unahitaji frem ya kupanga Mwenge. DSM Opposite na TRA ipo. kwa mwezi ni 250,000 tu haipungui, frem ni kubwa kwa mamizi mbali mbali, napia kwa wale wanaoweza kufanya huduma na TRA mfano ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tunao vifaranga wa asili na mayai ya asili. vifaranga wapo wa wiki mbili hadi miezi miwili. tupo morogoro mjini. kwa masiliano. 0769070257/ 0714 739914. karibuni sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama unapenda kiwanja kinyerezi shule, bei 7,000,000 nicheki, 0713415537 unawez hata kujenga frem kwa mbele, MAOGEZ YAPO
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari zenu. Nauza kiwanja changu kipo Kisemvule. Kisemvule ni karibu na Vikindu kama unapita Kilwa Road. Ukubwa wa Kiwanja ni: Mashariki: mita 20 Magharibi: mita 18 Kaskazini: mita 29 Kusini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za Jumapili? Naomba kwa yeyote mwenye ramani ya nyumba,VYUMBA VITATU,kimoja kiwe master bedroom,choo ya public,sebule,jiko na stoo.Nahitaji ramani iliyokamilika iwe full miundombinu yote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nimepoteza vyeti vyenye majina ya MARIAM PETRO NTOBI. Ninaomba yeyote atakayeona cheti ama kitu chochote chenye majina haya, awasiliane na mimi kwa simu number +255 754290 au...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Jipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom