SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Habari zenu. Nauza kiwanja changu kipo Kisemvule. Kisemvule ni karibu na Vikindu kama unapita Kilwa Road.
Ukubwa wa Kiwanja ni:
Mashariki: mita 20
Magharibi: mita 18
Kaskazini: mita 29
Kusini: mita 32.5
Karatasi zote za mauziano zilizofanyika katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Kisemvule zipo.
Eneo Halijapimwa.
Mimi mwenyewe ndio muuzaji na hakuna Dalali.
Karibuni sana.
Update: Deal Done