Ndugu zangu,
Nimepoteza vyeti vyenye majina ya MARIAM PETRO NTOBI.
Ninaomba yeyote atakayeona cheti ama kitu chochote chenye majina haya, awasiliane na mimi kwa simu number +255 754290 au kipeleke kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe, kisha nipigie kwa zawadi yako.
Ninachohitaji ni vyeti tu, na siyo kesi na mtu. Zawadi nono sana kwa atakayefanikisha upatikanaji wa vyeti hivyo.
Nashukuru kwa msaada.