Ramani ya nyumba inahitajika

Ramani ya nyumba inahitajika

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Habari za Jumapili?

Naomba kwa yeyote mwenye ramani ya nyumba,VYUMBA VITATU,kimoja kiwe master bedroom,choo ya public,sebule,jiko na stoo.Nahitaji ramani iliyokamilika iwe full miundombinu yote kama mfumo wa maji,umeme na mfumo wa paa. Ni kiasi gani kwa ramani hiyo?

KUMBUKA: Mwenye bei ya chini ndie atakaye pata hii kazi.Nipo Arusha.

Mawasiliano:
0752489529
Au NIPM.

Asanteni wote.
 
Sorry nitakuungainisha watu wanaohusika na ramani za nyumva watakupigia mkuu
habari za jumapili?

Naomba kwa yeyote mwenye ramani ya nyumba,vyumba vitatu,kimoja kiwe master bedroom,choo ya public,sebule,jiko na stoo.nahitaji ramani iliyokamilika iwe full miundombinu yote kama mfumo wa maji,umeme na mfumo wa paa. Ni kiasi gani kwa ramani hiyo?

Kumbuka: Mwenye bei ya chini ndie atakaye pata hii kazi.nipo arusha.

Mawasiliano:
0752489529
au nipm.

Asanteni wote.
 
Ok hii ni kama tender, ni free competition, karibu sana upate ramani unayotaka service provider ni mimi mwenyewe, karibu kwa 0765141027.
 
Mi ninayo bei poa tu ,nichek 0714495367
 
Back
Top Bottom