Kuku wa kienyeji wako Sokoni Karibuni wote

Kuku wa kienyeji wako Sokoni Karibuni wote

idea

Senior Member
Joined
Apr 3, 2009
Posts
123
Reaction score
16
Jipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi Dar es Salaam. Wateja walio serious (Namaanisha wanaotaka kununua na sio wa kupoteza muda) nitumie PM.

KUKU WENYEWE NI KAMA WANAVYOONEKANA KWENYE PICHA

20150124_085207.jpg20150124_085245.jpg
 
Je nikihitaji kuku watano waliochinjwa tayari utaniletea sehemu nilipo hapa Dar?
 
Ndio naweza kukuletea ni kiasi cha kujua upo sehemu gani ya Dar, saa ngapi na gharama ya usafiri itaongezeka kidogo. Karibu Dragoon.

Ok. hope tutafanya biashara nziri tu
 
Back
Top Bottom