Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ram 2gb windows 7 na xp flat screen hp desktops. Gateway cpu na 125GB harddisk.. CALL 0752039770 , 0719934875
0 Reactions
1 Replies
802 Views
aina:yanmar,capacity:kva 20,three phases,super silent generators,deep sea control panel.jenereta ni mpya hazijawahi kutumika. 20kva=16kW,can drive up to 4 air condition and deep freezers. bei ni...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
nanunua circuit za simu kwa kilo .0652 627 135
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza 124 bei maelewano. Inatembea iko Dar es Salaam. Kuiona wasiliana na 0714680247
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Niweke bei ya laptop na aina yake hapa,kuna wateja...!
0 Reactions
1 Replies
916 Views
- iPhone 5 16gb, haina scratch yoyote bei ni 550,000/= Tshs. - Sony experia arc s no scratch bei 200,000/= Tshs. - Huawei y300 imetumika miezi minne bei 100,000/=Tshs. Mawasiliano: 0763 969 066
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa uhitaji wako wa mafuta ya disel lita 1830 Toa oder unatka lita ngapi uletewe 0656 43 66 62
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Gari inauzwa iko vizuri sana vitz namba d 8.5m. Piga simu au msg kwa maelezo zaidi. Karibuni sana. Simu: 0656 43 66 62 Angalia picha!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Lipo maeneo ya M/nyamala komakoma nyumba ya pili kutoka barabara ya lami (Mwijuma Road).Nyumba ina hati kabisa Upana ni 24 Urefu ni 15 +255714316116 kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Nauza hii nyumba pamoja na kiwanja kilichoizunguka hii nyumba,,kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,,zitokanazo na tatizo la kiuchumi linalonikabili Picha ya nyumba kamili ni hio...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau nina Samsung s5 yangu inafanya kazi tatizo ni display inatokea mistari wakati wa kuwaka na muda mwingine wakati natumia msaada please wa Fundi anaeweza kutatua hii kitu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wanajamii. Huyo mbwa anauzwa bei 600,000. Mazungumzo yapo. Amebaki mmoja. Aliyetayari naweza wasiliana nae 0717221590 na hata kumrushia picha zaidi kupitia whatsapp. Karibuni wadau.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
dell gx270,120gb,2.8ghz,ram 256mb..ipo katika hal nzuri kabisa,nipo dsm.
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Aliye serious anaweza kuni pm
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Habari wakuu, Natafuta Simu aina ya Iphone kuanzia iphone 4, 4s na kuendelea Budget yangu ni 250000/= Ni PM kama uko nayo ama Contact me on 0713968649. Direct contact kwa simu ni nzuri mana kwa...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Wana Jamii Forums. Nililima hekta kadhaa za Alovera huko Dodoma.Nimefanikiwa kuvuna magunia 370. Natafuta soko la bidhaa hiyo.Kila gunia lina ujazo wa madebe 10 nami nauza gunia kwa tsh 200,000...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unahitaji wakala wa usambazi wa bidhaa katika maeneo hayo tafadhali wasiliana na mimi, Tuna store kubwa na vilevile tuna magari kwa ajili ya shughuli hiyo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello JF, nauza mabati ya zamani, bado yapo vyema kwa ajili ya mabanda. Kwa anayeitaji tafadhali tuwasiliane yapo kama 60, ni yale ya zamani. Yapo Mwenge Dar. Simu: 0713 401 812
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tafadhal husika na kichwa cha habar Hapo juu. Bajet Yang ni sh.130,000.km VP in pm bas wakuu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazee wa kilinge nahitaji HUAWEI ascend 300 nna 120000 nitafute kwenye 0714010362,iwe kwenye halo nzuri
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom