Habari zenu,
kwa yeyote anayejua au anayeweza kunisaidia au atakayesikia, nyumba ya kupanga yenye chumba 1/2, sebule, + jiko maeneo yasiyo mabondeni Kijichi, plz anijulishe. nioi tayali kupokea...
Habari za asubuhi wakuu!
Naomba msaada wenu, nataka kununua gari, na nimefanya mawasiliano na Beforward Co. LTD Japan kwa mtandao wao, na asubuhi hii nimekuta Pro forma Invoice kwa E-mail yangu...
chumba kimoja self kinapangishwa dar mitaa ya changanyikeni karibu na chuo kikuu cha ardhi. bei ni maelewano kwa maelezo zaidi wasiliana na 0784 226800
Habari wanajf,
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kuna chumba kimoja ambacho ni master,sebule na jiko vinapangishwa kwa bei ya tsh laki moja na elfu arobaini(140,000/=).Hipo tabata kimanga kituo...
Kwa wakazi wa mtwara kuna kumputer zinauzwa kwa bei nafuu kabiza zikiwa na vitu vifuatavyo
Nyimbo mbalimbali
Videos za nyimbo mpya
Movies mbalimbali
Series pia kama ni mpenzi.
Karibu tuwasiliane...
For those who want to hide their ID through Whatsapp just contact us to get external number this number you could be able to use whatsapp& viber line and so on simply check us via 0655500066 calls...
SPOTLESS CLEANERS COMPANY..
Inahusika na nini?
Ni kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma ya usafi katika sehemu zifuatazo:
Usafi wa Ofisi zote
Usafi katika maeneo ya Viwanda na Biashara...
Habari Wananchi
Ninatafuta pikipiki/Tri-cycle ambayo inakuwa imefungwa bowser ndogo kwa nyuma kwa ajili ya kuuza maji.Je nitazipata wapi?Bei yake ni shilingi ngapi za kitanzania? Kwa mwenye...
A 2 storey house with 4 all en-suite bedroom and a master bedroom with spacious balcon and a jacuzzi. An open floor plan with a spacious kitchen and a dining room and living room. There is also a...
Habari Wakuu,
Chuo cha EMPOWER SCHOOL OF HEALTH kilichopo New Delhi, India kinatangaza nafasi kwa ajili ya kujiunga na kozi ya post graduate diploma in global health procurement and supply chain...
Husika na kichwa cha uzi.
iPad mini ipo sokoni ikiwa na sifa zifuatazo:
i) Internal memory 16 GB
ii) iOS 8
iii) Camera: front & back
iv) Dark blue in colour
v) Ipo ķatika...
StarLink group kwa kutambua changamoto mbalimbali zinazozikumba shule mbalimbali hasa za Sekondari namna ya kutunza nyaraka mbalimbali za shule, zikiwemo;
1) Ripoti za Wanafunzi
2) Record za...
msaada bei ya pete yenye madini ya Tanzanite, mwenye utaalamu wa hizo pete, nahitaji kumnunulia bi harusi wangu mtarajiwa.
Nahitaji mawazo please. Ahsanteni.