WhatsApp and Viber Users

WhatsApp and Viber Users

Joined
Jan 18, 2014
Posts
79
Reaction score
12
For those who want to hide their ID through Whatsapp just contact us to get external number this number you could be able to use whatsapp& viber line and so on simply check us via 0655500066 calls WhatsApp na text are allowed.....kwa wale wanaotaka kupata number za kutumia whatsapp number za nje nchi yoyote nicheki nikuunganishe gudmorning guys....changes are included
 
Sijaelewa.ili iweje?au kwa ajili ya kutongozea wake za watu?na picha je?
 
mtachaji watu pesa wakati humu humu hiyo huduma ni bure toka kwa watu wa IT
 
Ili iweje

Ili kuwadanganya watu kua uko UK au USA wakupapatikie wakati ukweli hata Ndege hujui ndani ikoje. Njia hii itakusaidia kukuongezea status then utapata mademu wakali wanaopapatikia watu na ambao hawaujui huu mchezo!!
 
Hahahaha bongo bwana ili na wewe uonekane uko

mamtoni kumbe upo hapa hapa itagutwa..
 
Ili kuwadanganya watu kua uko UK au USA wakupapatikie wakati ukweli hata Ndege hujui ndani ikoje. Njia hii itakusaidia kukuongezea status then utapata mademu wakali wanaopapatikia watu na ambao hawaujui huu mchezo!!

maelezo safiiiiii
 
Mwishowe ukiombwa vitz unaanza kujilaumu,

Haulaumu,
Unamzuga za Showroom mbaya kwamba unaagiza Japan utachukua miezi miwili, paka aje ashtuke miezi yote miwili hiyo utakua hujaweka mambo sawa?
 
ndio mtu anakuambia kwamba tunauza apple,ipad,iphone WE ARE AUTHORISED DEALERS WA APPLE FROM US.. kwa mawasiliano anaweka namba ya whatsapp ya US. kumbe jamaa yupo mikocheni
 
Back
Top Bottom