Nahitaji ultra-sound machine

Nahitaji ultra-sound machine

Rugaijamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2010
Posts
2,942
Reaction score
1,302
Wapendwa hope mko njema.

Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu.
Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M.

Asanteni in advance.
 
Kwa bei uliyotaja ni ngumu kuamini kama upo kwenye hii sekta. Anyway ngoja tusubiri wadau h
uenda tukapata mchongo[/quote's]

Nipo kwenye hii sekta mwaka wa 7sasa.
Naamini naweza kupata ya bei hiyo mkuu .
 
Wapendwa hope mko njema.

Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu.
Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M.

Asanteni in advance.

You are having a laugh ,
 
Wapendwa hope mko njema.

Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu.
Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M.

Asanteni in advance.

Hiyo ni bei ya spare mkuu mile ndo kazi yang u naimport iNBOX ME
 
Huyu jamaa hayupo serious! Yaani ultrasound machine kwa 4 million? Hata probe yake moja tu used 4 million haitoshi; afu anasema yupo kwenye field for 7 years now.

Tafuta $25,000 nikupatie brand new philips hd7xe na probe moja. Ofa hiyo kwako..
 
Back
Top Bottom