Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji nyumba ya kupanga, yenye vyumba viwili na sebule (sebule ikiwa kubwa kiasi itapendeza zaidi) na jiko kama litakuwepo itafaa sana.
Maeneo ya Kijichi na iwe ktk eneo zuri sio la bondeni, mazingira mazuri.Kwayeyote atakaye kua karibu na maeneo hayo, au kusikia please tuwasiliane.
Asante.