Kiwanja chenye eneo la mita za mraba 968 (44x22m) kinauzwa TZS 65mil. Kiwanja hicho kipo umbali wa wastani wa mita 150 (nje ya barabara) kutoka kwenye kituo kidogo cha basi cha Namanga kilichoko...
Nauza pikipiki za toyo maalumu kwa ajili ya kubebea mizigo. Zipo mbili
Moja ina engine ya cc200. Inakwenda kwa mil 2.5mil
Na nyingine ina engine ya cc 250..hii inatumia radiator. Ina nguvu...
Habari!
Box ni XPLOID
speakers ni PIONEER double
Bei ni tsh 120,000 (negotiable)
ipo ktk hali nzuri, Dar es salaam
Kwa mawasiliano 0717149646 (tuma sms)
Habari
Kama title inavyoojieleza;
Litre ya diesel 1,545 free transport kuanzia litre 200 na kuendelea Kwa DSM pekee.
NB:Kama tutaingia ktk continueos delivery bei itapungua kulingana na order ya...
KWA WALE MAFUNDI WA KUDARIZI PATA VITAMBAA VYA KUTENGENEZA NGUO ZA BAZEE KWA BEI NAFUU.
UNALETEWA POPOTE ULIPO HATA KAMA NI MOJA ...10yard na 5yard
Rejareja 50000 kwa yard 10 na 25000 kwa yard...
Wadau kuna mshkaji wangu anataka kumu engage mchumba wake ijumaa . Nataka hotel au restaurant ama sehem nzuri hapa dsm .
Mwenye kuweza kunisaidia ningefurahi.
10pax only. Asanteni
Pata green tea with ganoderma lucidum kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini, kubalance pH ya mwilini, kupunguza uzito wa mwili na pia kuna product nyingine inasaidia kuondoa kiu ya ulevi na sigara...
Tunatoa huduma ya kuandika katiba za NGOs na makampuni na pia tunaandika mikataba ya makampuni. Bei yetu ni nafuu sana.
Tuwasiliane kwa simu: 0752238263, email: hoseabenjamin88@gmail.com.
Nauza flash za kisasa amabzo unaweza kutumia kwenye smart phone yako kuhamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye flash bila kutumia usb cable,kuplay nyimbo na video kutoka kwenye flash kupitia...
Nahitaji lens aina ya Canon 50mm F1.8 au Yongnuo 50mm F1.8 (Canon mount),iliyotumika kidogo lakini ni nzima haina scratch/mikwaruzo wala fungus,nipo Dar Es Salaam,Mob 0655 585 490,ukiwa nayo ni...
Sepon limited unakupatia huduma za solar zitakazokupatia umeme muda wote, Yanini kusumbuka na Luku wakati nguvu ya nishati ya jua ipo? tunakufuata popote ulipo kwa gharama nafuu zaidi.
Tunatoa...
Habari wakuu
Mimi nina kipaji na taaruma nzuri ya kutengeneza mavazi aina ya tshirt kwa ajiri ya muziki na sana za bongo.
wasanii wanao tengeneza video nauzo wa kutengeneza logo mbali mbali kwa...
Nauza simu tajwa hapo juu price 160000 /= maongez yapo ipo katika hali nzuri Ila inatumia pain ya tigo guy(haijaflashiwa) 0718776676 text/WhatsApp/viber.
Habari za leo wadau..!? Ninazo simu mpya kabisa iphone 6plus hazijawahi kutumika na ni factory unlocked pia kuna iphone 5 na 4s hizi zimetumika kidogo sana na hazina hata mikwaruzo sababu ya...
Ina vyumba nane vinne master leseni ipo ni ya kuinua (renewing) vifaa vya ndani hakuna. sh 35000000 Dalali hatakiwi. Picha nitaweka baadae. Pia Kisima kipo cha kusafisha kwa power compressor...