Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Latop nzima ila bettry haikai...ni ASUS LALTOP,RAM 4 GB,CORE I3,500GB Hrddsk..nichek thru 0682674747 au 71624588 .....nipo kinondon dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari JF members. Napenda kuwafahamisha wale wadau wa kuuza ardhi, kuwa linahitajika shamba/kiwanja chenye ukubwa wa 1000 acres liwe sehemu yoyote ndani ya wilaya ya bagamoyo, liwe na hati yake...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
120,000 nzima kabisa. Touch yake ina mipasuko kiasi lakini inafanya kazi 100%. Kuifaham zaidi ingia google utaiona ilivyo inavyokua mpya.
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Kiwanja kipo mkoani Mtwara maeneo ya shamba la Chumvi mkabala na barabara kuu ya kwenda Dar es salam. Ukubwa Ni ekari 1, Kinafaa Kwa biashara hata makazi. Kwa mawasiliano zaid piga namba 0657180432.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Motor Grader 12F na ingersol Rand compactor vinauzwa. Machine zote zinafanya kazi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja ni kizuri hakina bonde. Kiwanja hakipo square (Sambusa). Kipo Bunju A (kituo usalama). Barabara inafika hadi kwenye Kiwanja, huduma zote muhimu zipo karibu. Bei Milioni 12. #0752953860
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta trailer la kukodisha liwe na exle 3.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalam wapendwa. Natafuta dengu jamii ya mikunde. Naziitaji kwa wingi kama tan30 naumben msaada anaye juwa zinako patikana. Namba yangu 0712155462.Asanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza simu ya TECNO H6 bei ni 200,000 simu nimetumia mwezi mmoja na bado ipo na recept yake na warrant. Kwa mawasiliano nicheki kwa 0713415537
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Toyota IST For Sale: 11.5 Million Ya Mwaka: 2005 Mileage: 96000 Kilometre CONTACTS: 0716 927 606
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million) Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Type:026/12/solar(Lead Acid)26 Ah C20Maximum Voltage 13.8 min Voltage 10.8Max dendensity-1.2 50. Min density 1.2 25Filing Density-1.245@25°cMax Ch. Volt 14.4, FI. Volt 12.8 & Load...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Suzuki Carry for sale: 9.5 Million Year: 2009 Mileage: 56000kms CONTACTS: 0716 927 606
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf,nauza laini yangu ya tigo pesa kwa lakitano nipigie 0656899091 kwa maelewano
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Line ya Tigo Pesa inauzwa. Kama unahitaji piga 0712923292 Price: Laki 4 na 90 (Fixed)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Its a clone Ipo katika hali nzur kabisa haina tatizo lolote Double line 5mp camera 5gb internal memory Price: tsh.190,000/= Contacts 0689341445
0 Reactions
0 Replies
699 Views
4 newly built villas for rent at Mbezi Beach near White Sands Hotel. Each villa has 4 bedroom, 3 toilets and a specious kitchen and living room with ample parking space. For more details on the...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Natafuta pc housing na vifaa vingine kwa ajili ya hii pic km keyboard km unayo ni pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam wa jukwaa, Kuna nyumba inauzwa, iko Kawe Ukwamani, ina vyumba vitano na sebule kubwa, choo cha ndani na jiko. Imejengwa kwa ubora mkubwa, imezungushiwa ukuta na iko sehemu inayofikika kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom