Habari JF members.
Napenda kuwafahamisha wale wadau wa kuuza ardhi, kuwa linahitajika shamba/kiwanja chenye ukubwa wa 1000 acres liwe sehemu yoyote ndani ya wilaya ya bagamoyo, liwe na hati yake.
Zingatia kama ni dalali unatakiwa uwe na mawasiliano ya moja kwa moja na mmiliki wa eneo hilo.
Bei iwe kati ya M 700 -B 1.2 za kitanzania.
P.M or text only 0686371305.