Motor Grader 12F na ingersol Rand compactor vinauzwa. Machine zote zinafanya kazi.
Ni kweli naomba nisamehe. Nitashughulikia habari ya picha as soon as possible, vifaa vyote vipo Mpanda ( Tanzania) both equipments for 70milion.Sasa Kamanda kama umepata nafasi ya kuandika Tangazo kwa nini usiweke kitu cha kueleweka?
hakuna picha?
weka bei,
hivyo vitu viko wapi? Japan?
Mawasiliano yako