Kiwanja kinauzwa Mtwara

Kiwanja kinauzwa Mtwara

Farahoney

Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Kiwanja kipo mkoani Mtwara maeneo ya shamba la Chumvi mkabala na barabara kuu ya kwenda Dar es salam. Ukubwa Ni ekari 1, Kinafaa Kwa biashara hata makazi. Kwa mawasiliano zaid piga namba 0657180432.
 
Mkuu weka bei ili tuweze kutafakari, kabla hatujakupigia, ni ushauri tu.
 
Hahahahah duh!! Dar pale Kimara kuna nyumba kubwa tena ghorofa, inauzwa 150m, tena hiyo ni pesa ya dalali
 
Mkuu unaota au umekosea namba? million 180? Mtwara? au kina GESI?


Tangu watangaziwe neema ya gesi Mtwara hiyo ni bei ndogo sana....

Kiwanja ukubwa huo siyo ajabu ukisikia bilioni moja...
Bei za viwanja vilivyopimwa ni kubwa kuliko bei ya Dar...

Tafakari...
 
Hahahahah duh!! Dar pale Kimara kuna nyumba kubwa tena ghorofa, inauzwa 150m, tena hiyo ni pesa ya dalali

Unafananisha Bei Ya Kiwanja Mtwara Na Kimara? Xaxa Hicho Kiwanja 2mekataa Kuuza Kwa 120 Juz2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom