Habari,
Kuna ploti inauzwa tengeru- Arusha, kilometa 10 toka Arisha mjini. Ukubwa hatua 30 kwa 17. bei milioni kumi na nane,(18million)
Huduma za maji, umeme, Barabara zinapatikana.
Kwa...
Type:026/12/solar(Lead Acid)26 Ah C20Maximum Voltage 13.8 min Voltage 10.8Max dendensity-1.2 50. Min density 1.2 25Filing Density-1.245@25°cMax Ch. Volt 14.4, FI. Volt 12.8 & Load...
4 newly built villas for rent at Mbezi Beach near White Sands Hotel. Each villa has 4 bedroom, 3 toilets and a specious kitchen and living room with ample parking space. For more details on the...
Salam wa jukwaa,
Kuna nyumba inauzwa, iko Kawe Ukwamani, ina vyumba vitano na sebule kubwa, choo cha ndani na jiko. Imejengwa kwa ubora mkubwa, imezungushiwa ukuta na iko sehemu inayofikika kwa...
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji niko Tabora Kipalapala -Matankini. Ninao kuku wa kutosha kuuza kuku 200 kwa wiki. Kama unaona unaweza kuwa Mnunuzi wangu tafadhali tuwasiliane kwa namba...
Ndugu wana JF,
Nakodisha malori kwa miezi 6, Yote mawili ni tani 30 kila moja!! Moja ni semi trailer (linaburuza trailer nyuma) la pili ni single flat fleet.
ni PM tuongee..
PJN
Habari wakuu!
Anayeuza vyombo vya ndani kv: kitanda, godoro, vyombo vya jikoni n.k. tuwasiliane. Naomba uniPM namba yako na bei za vitu, ukinitumia picha itakuwa poa zaidi, kama huna uwezo wa...
Hi JF members
Online job recruitment portal inauzwa
the system is capable of allowing recruiters or site visitors to post their jobs
the system also allow site visitors or jobseekers to upload...
Wana JF nana kampuni ya kukodishia magari kwa ajili ya transfer, mikutano ,sherehe mbalimbali na kwa private .unaweza kutembelea website ya kampuni kwa mawasiliano yote Yako hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.