Wewe ni mjasiriamali wa kutengeneza tovuti au blog? Umepanga kutengeneza kwa bei nafuu? Usijali, tunatoa vifurushi kwa ajili yenu kuanzia Tsh. 40000 kwa mwaka.
Are you a Student or Web | Blog...
CLONE SAMSUNG GALAXY GRAND DUOS
its in great condition barely used
Ipo katika hali nzur kabisa haina tatizo lolote
High Perfomance And functionality
Double line(inatumia line mbili)
5mp...
a new (bought 4 days ago) Tablet "Discovery by Target" is on sale. 180,000 Tshs only. Just PM your number for whatsup pics & negotiation.
Spec:
Brand: Target
Color: Silver
Operating System...
Habar wana jamvi...?
Nauza simu tajwa hapo juu bei cheee kabisa..
Ni used kwa miezi kadhaa bt stil in gud condition.....
Bei » laki moja na kumi tu!
SIFA ZA SIMU
========
Internal...
Kina ukubwa wa sqm 3800, kipo tambalale kinafaa kwa shughuri kama makazi' ufugaji au yard! Kipo umbali wa 1.4km kutoka barabara kuu inayoenda geza. Upimaji wa awali umefanyika unaonesha ni eneo la...
Kiwanja kipo eneo la Cheka ni mwendo wa 25km toka Feri ya Magogoni. Kipo karibu na barabara kuu iendayo Kimbiji. Pia kipo maeneo jirani na hatel ya Changani beach. bei ni Tsh. 12m. kwa mahitaji...
Kwa wale wadau wanaopenda noah na waliokuwa wakiniuliza Noah unaleta lini Basi hiyo hapo ishaingia Dar kutokea Japan.
Nauza Toyota Noah 2001
Color: Nyeupe
KM: 103014
Location: Tabata Segerea Dar...
Anaehitaji smartphone tajwa hapo juu naiuza kwa bei ya 150000 tu haina tatizo lolote sababu ya kuuza ninamsomesha mdogo wangu wa primary sasa nahitaji niiuze ili iweze kumsaidia na ipo katika...
Habari wana jf.
Nawatangazia uuzwaji wa viwanja vilivyopimwa kwa ajili ya makazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga kijiji cha Tengelea. Kijiji cha Tengelea kiko umbali wa kilomita 11 kutoka...
Tunatangaza nafasi za Hosteli kwa wanafunzi wa Kampala University iliyoko Gongo la Mboto.Maelezo yote soma kwenye attachment
Asante Rene picha imeongezwa
Habari njema unashare na nduguzo.
Gulio la carfromjapan wako kwenye kampeni kubwa, wameamua kutoa magari kadhaa kwa watu wenye bahati zao.
Simply follow the link, apply...
Toyota Vitz inauzwa bei ni million 5. Plate number B...Ya1999. Ina km 148000. Cc990. Haijawahi kutoka Dar. Kila kitu kinafanya kazi. Haijangonga wala kupata ajali yeyote. Ukiwa serious ni check...
Brand Name: HP elitebook 8440p
Conditions: used but in good condishion
Colour:Titanium silver
WebcaM:2MP
screen: 10.1 inches
RAM: 4GB
Processor speed: 2.56Ghz Intel core i5
Hard disk space...
habari wadau.
nyumba inapangishwa eneo la ubungo external.
ina vyumba viwili vya kulala, sebule, dining, stoo, na jiko..
suitable for familia ndogo.
ipo ndani ya fensi na ina gate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.