HTC ngapi mkuu i mean a in a gani ? Coz HTC zipo nyingi
Habari zenu wadau,
Nina Tsh. 320,000/= natafuta Smartphone nzuri iwe used n au mpya lakini iwe kwenye hali nzuri bado.
Brand: Huawei, Sony Experia, Samsung Galaxy..
mkuu nenda mlimani city utaipata
Smart phone siyo nzuri sana kwa usalama wa kazi/biashara yako labda kama huna serious rivals. Ni rahisi sana MTU kupata habari zako