habari.
Nauza jiko ambalo nilikua nalitumia mimi mwenyewe la umeme.
- Germany made, brand ya Ignis
- Lina sehemu nne za kupikia (4 plates)
- Linafanya kazi vizuri na halina shida yoyote
-...
wakuu,
Inahitajika nyumba, vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sebule na jiko pamoja na parking.
Pia kinahitajika chumba self contained.
Eneo ni Changanyikeni, nyuma ya chuo kikuu...
An industrial plot with 36405 Sqm located in Tanita Kibaha, Costal region facing Morogoro road. The plot is fully surrounded with a cement wall and a Dawasco connection. The plot is for sell by...
Inauzwa: imetembea km 174,612.,1290cc,rangi nyeusi,tairi zote mpya,valid motor vehicle na Bima,automatic,usajiri Wa B,gari ipo ktk hali nzuri,haijawahi pata ajali,pm kwa maongezi,gari ipo...
ninauza suzuki escudo black ya milango mitano. Gari bado iko kwenye hali nzur kabisa na haina historia yoyote ya ajali. Matairi bado ni mapya kabisa na ina vibali vyote.Wala engine haijawahi...
Wakuu hembu mnijuze maeneo bora kujenga kwa plan hii ya nyumba
Ngorofa ya vyumba vinne with Home Office
-Swimming pool
-Tennis Court/ambayo itakuwa converted to Basket ball
-Volleyball...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kufunga Vehicle GPS Tracker kwa bei poa sana ambapo kupitia simu yako ya mkononi au Laptop yako unaweza kupata taarifa za gari yako popote...
Hp Pro Book 6360b, ina mwezi mmoja tu, battery charge 4 hours, GB 500, RAM 4GB 1, 333mhz ddr3, Processor 2.3Ghz Intel core i5-2410m, inch 13.3 inches screen. Price 600,000 negotiable.
For serious...
Nauza mitsubishi double cab pick up. Imetumika nchini miezi sita tu,
Engine size 2.5 cc diesel, model 4D56 of 2002, Imported from UK,
Manual transmission
Full air condition
All New Yokohama A/T...
Jamani habari zenu wana jf, nilikua nafanya biashara ya mitumba ya kike ila sasa nataka kubadilisha biashara kutokana na eneo nililopo kwa sasa biashara ya mitumba aitoki, ni mitumba mizuri...
Vinauzwa viwanja vilivyo katika eneo moja vyenye ukubwa tofauti kwa bei rahisi sana kama ifuatavyo
(1).Mita 48 Kwa Mita 31 urefu na upana wa mita 27 kinauzwa kwa Milioni 25 tu.
(2).Mita 31 urefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.