Kiwanja chenye hati sqm 930 kinauzwa

Kiwanja chenye hati sqm 930 kinauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kipo wilaya ya Ilala Dar es salaam. ni 1km toka barabara kuu. kipo Pugu eneo linaitwa mbuyuni, hati ipo na bei kinauzwa 16m . ni tambalale kimenyooka. kwa mahitaji ya kiwanja hiki au vingine vingi kigamboni na mbuyuni tuwasiliane
0657145555
 
Kaka.. Square meter haikupi ukubwa halisi inaweza ikawa 1x930 au 10x93 au 100x9.3 (meters) au vyovyote..... Asije akawa anauza barabara

Kwa uelewa wangu mdogo wa hisabati neno ukubwa kwa habari ya eneo humaanisha zao la urefu na upana...

Muuliza swali angeliulizia vipimo vya urefu na upana angelikuwa sahihi zaidi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom