Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuuu habari zenu, Nina shida ya kununua pikipiki aina ya Toyo au Shaneray kubwa/ndefu kwa ajili ya matumizi ya shamba.Naomba mwenye nayo tuwasiliane. Nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
lc.
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Ninahitaji pikipiki kama ipo tuwasiliane @ 0752737919
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Model: RT21 Bei: 590,000 Contact: 0713086602 Brand new!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei 20M Kiwanja kina hati kwa jina langu Barabara iko planned kuwa mbele tu ya nyumba Mazingira ni mazuri,kiupepoupepo Eneo linatosha kujenga nyumba, parking na kibustani Serious buyers only...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shuka 1 kubwa size 8*8 cotton na foronya 2 kwa tsh 20,000 tu Jumla 18000 kuanzia pics 5 Ukitaka pair ni shuka 2 foronya 4 kwa tsh 38000 tu Tunapatikana sinza mgabe Tufollow instagram...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wadau... Ninauza tableti ya Samsung Toleo la pili, ukubwa wa inchi 7.... Bei ni 390,000/= Sababu.... Ninazo mbili. Namaanisha nimepata tablet nyingine hivyo hii ndio naiuza Note...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Msaada unatakiwa hapa nimechimba kisima, lakini maji hayafai kwa matumizi yoyote sababu yana chumvi sana. Sasa nime google Mashine ya kutoa chumvi nikaona zinapatikana nje ya nchi. Je...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu nauza mlango ya frame na kikabati cha ku display bidhaa bei ya mlango ni sh laki tano maelewano yapo kikabati ni laki mbili na nusu vyote vipo ktk hali nzuri. Samahani kesho nitaweka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi natafuta chumba cha kupanga maeneo ya kinondoni kuanzia mkwajuni mpaka manyanya cha elf40 mpaka elf 50.. Anayejua anijuze. "Usilolijua ni usiku wa giza"
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Location: Jangwani Beach Monthly Rent: USD 2000 DESCRIPTION: • 2-Storey, Compound Villa • 4 Bedrooms • 3 Bathrooms • Hall • Kitchen FEATURES AND AMENITIES: • A/C Split • Maintenance •...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Massawe mr lo price simu zote zina warrant ya mwaka mmoja
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toka zamani napenda Gari za Land Rover, nna mpango wa kununua usafiri wa offroading.Lakini kabla sijaingia mkenge naimani naweza kupata elimu hapa JF. Vp kuhusu range rover 4.6 hse, any common...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Uwanja unauzwa upo Kigambon Beach karibia na ujenzi wa NSSF ambao unajengwa na waturuki ni m square 4443 bei mil 55 na maongezi yapo. Kwa mawasiliano nicheck hapa 0768359292
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Gari aina Hilux pick up engine 3L single cabine naiuza kwa bei nzuri tatizo lake ni kukausha maji haraka kwenye rejeta tu na inatumia dizeli. Kwa mawasiliano 0787594060
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii Ndude/Gadget(1TB) iko na 30TV-Series na Zaidi ya 300 Latest Movies. Ni Mpya-pyaaaaaaaa. Ina Reserve ya 55GB Bei Tsh= 195,000/- Bring an Endless Entertainment in your LivingRoom.
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kwa mahitaji ya viwanja,mashamba nyumba,nyumba au vyumba vya kupanga kigamboni mjimwema mpk kimbiji.wasiliana na namba hii 0716 888 799 uliza abas
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Nyumbe iwe ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, jiko na choo ndani. Tiles na madirisha. Luku ya peke yake na maji ndani. Isiwe mbali na barabara. Namba yangu: 0785 872 256
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Anayehitaji awasiliane na mwenyewe kwa namba hii: 0714512752.
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Ina CPU mbili za xeon 2.0ghz kila moja Ram :2gb Hdd:250gb Graphic:ina quadro fx 3700 but naweza kukuwekea mpaka 2gg graph depend na pesa yako Drive:dvd wirtter Ipo fresh kwa yule anayetaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom