Mm nina T-BETTER CG 125 NINAUZA 850,000/= INATEMBEA ina Helmet 2 na spea kibaoNinahitaji pikipiki kama ipo tuwasiliane @ 0752737919
Nauza laki 9, ni fekon cc 125, imetumika miez 7, no ni T 6..CSK, nichek 0714495367 nipo dar, kitunda relin
nimeielewa sana hiyo kitu, ningekua huko tungemaliza hii biashara leo. niko mbali kidogo (mbeya)
Pikipiki ipo,ila ni vyema kufahamu uko wapi,mfano pikipiki ipo chato geita.Lakinisijui wewe yko wapi na namba yako ya simu haipatikani,basi wwe nitafute kama unahitaji babdo.0717039283.ni sanlg ina miezi 9